Home
Our Commitment
DESIGNER PERFUMES
Face, Eyes and Lips
Just for Men
Perfumes and more
Body, Bath and more
 Bags and Shoes
Contact /Locations
   
 



ALL FROM US, CANADA AND UK





















LIST NI NDEFU ANGALIA HAPO CHINI NA NYINGINE NYINGI KAJIONEE DUKANI

Hizi ni baadhi tu ya perfume tulizonazo. Kila mtu ana chaguo lake nawe pia utapata lako. Endelea kuangalia baadhi hapo chini

Deodorants,  Kwanza ni kwa nini mtu utumie deodorant?
 
Inajulikana kuwa Jasho pekee halina harufu ila kunapokua na bacteria na unyevunyevu kama vile kwapani hapo ndipo harufu huwepo. Kwapa ni mojawapo ya eneo la mwili ambalo lina joto na unyevunyevu karibu muda wote. Na nywele kwapani zinaongezea harufu kwa kuwa zinawapa bacteria eneo zaidi la kuzaliana. Deodorants zinasaidia kuzuia harufu na kupunguza jasho

Perfumes ni chaguo lako tu, kuna aina zaidi ya 50

Perfumes ni chaguo lako tu, kuna aina zaidi ya 50. NI LAZIMA UTAULIZWA NI PERFUME GANI HIYO UMEPAKA!

UNIQUE PERFUMES KWA WATU UNIQUE, Utanukia kwa muda mrefu na kwa masiku kadhaa.



Be Kissable!!















Please stop by again. Thank you for your interest!

Contact us @
0784-521171
0784-456046
OR 0753-335011 OR
info@arise-tz.com